Thursday, 28 July 2011

WHEN LAURA VISITED ROMANTIC RIVER RHINE.

 baada ya kufunga ndoa maharusi huja hapa na kufunga hizi locks then wanatupa funguo mtoni

 lol!!!! locks nyingine ni za baiskeli, naona ni katika kutaka kuwa unique kidogo

 hapa Laura kasimama katika rhine bridge


hawa ni wanandoa waliofunga ndoa siku moja sehemu moja
 kuna sehemu zilizojaa hata pakufunga hakuna



hata mimi nimeipenda hii

hii ndiyo bridge yenyewe, niliongea na laura akaniambia hajui kama yeye angetupa funguo zote kwenye maji au angeficha spare, kwakuwa aliona sehemu ambazo kuna watu walikata na msumeno!!!!

No comments:

Post a Comment